Kuna jamaa alikuwa anapenda sana kuwazingua wadada sasa siku
akakutana na kiboko yake mambo yakawa hivi;
Jamaa: hellow mambo..!
Dada: safi vipi?
Jamaa: samahani nakuomba kidogo nina shida na wewe
Dada: hapana nina haraka sana.
Jamaa: si' ungeenda toka jana?
Dada: hata hivyo naenda kwa ajili ya kesho
Jamaa: dah..! umeniweza kweli kweli.
Dada: hata hivyo naenda kwa ajili ya kesho
Jamaa: dah..! umeniweza kweli kweli.
No comments:
Post a Comment