mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, February 07, 2015

SAMAHANI MASIKIO YANGU MABOVU UMESEMA?


JAMAA alikuwa na mpenzi wake wanakunywa soda na kupeana maneno matamu na ahadi kibao kwa mapenzi.
MDADA: Bebi ninunulie iPhone 6

MKAKA: (Kwa kelele) Umesema nini sijakusikia nina matatizo ya masikio.

No comments:

Post a Comment