TICHA: leo
tunajifunza methali
TICHA: uchungu wa
mwana?
DARASA: muarobaini
hauoni ndani
TICHA: nyani haoni?
DARASA: mvalishe
miwani
TICHA: simba akizidiwa?
DARASA: lazima akae
chini ampumzike
TICHA: penye kuku wengi?
DARASA: chinja wawili
au watatu
TICHA: penye wengi?
DARASA: kuna mkutano au maandamano
TICHA: sawa sawa..!lazima mtafaulu mwaka huu.
No comments:
Post a Comment