Jamaa kaenda hospitali
DOKTA: Unavuta sigara?
JAMAA: Ndiyo
DOKTA: Ngapi kwa siku?
JAMAA: Pakti 1
DOKTA: Sigara moja shilingi ngapi?
JAMAA: Shilingi mia
DOKTA: Du kwa hiyo kwa siku unatumia
shilingi
elfu mbili kwa fegi tu?
JAMAA: Ndio
DOKTA: Umeshavuta kwa miaka mingapi?
JAMAA: 40
DOKTA: Kwa hiyo umeshatumia shilingi 2000
x 365
x 40= Shilingi 28,480,000/-
JAMAA: Dah ndio
DOKTA: Unajua ungekuwa umeziweka akiba
hizo
fedha saa hizi ungekuwa na mzinga wa
gari?
JAMAA: Dokta we unavuta sigara
DOKTA: Hapana
JAMAA: Gari lako liko wapi...
No comments:
Post a Comment