MATUSI YANATOKA WAPI JAMANI?
Mhudumu analeta supu huku kidole gumba kimo ndani ya bakuli.
MTEJA: Mbona
unaweka dole lako ndani ya supu yangu?
MHUDUMU: Dokta kaniambia kidonda kiwe na
joto saa zote ndo kitapona.
MTEJA: (kwa hasira) : si uwe unakichomeka matakoni
kwako?.
MHUDUMU: Ndio huwa naweka nikiwa jikoni.
MTEJA: ahaa kumamamae!! kunywa
mwenyewe msenge nini.
MHUDUMU: Matusi yanatoka wapi jamani? kunywa bwana mbona hata
jana ulikunywa tu na hujafa.
No comments:
Post a Comment