mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Friday, August 19, 2016

SASA TOFAUTI YAKO NA MBWA IKO WAPI?


Mzungu: Unajua kuogelea?
Mbongo: Hapana!
Mzungu: Basi Mbwa ni Bora kuliko wewe! anajua kuogelea! Mbongo: Kwani we Unajua Kuogelea?
Mzungu: Ndio!! Mbongo: Sasa tofauti yako na Mbwa iko wapi?

No comments:

Post a Comment