mambo
WEKA
SULUM
Pages
Home
Wednesday, August 17, 2016
ULIKUWA WAPI ?
Alex na mke wake kipenzi wlikua wamelala usiku wa manane mke wa Alex akamuamsha mme wake maongezi yao ilikua haya
Mke : mume wangu nimezidiwa uchungu tayari Nataka kujifungua nahisi Mtoto yupo njiani ...
Alex: unataka kujifungua Usiku huu Mchana kutwa ULIKUWA WAPI ??
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment