ZUZU
Mwanamke Zuzu alikuwa na mchumba wake Zuzu, baadaye uhusiano ulivunjika. Zuzu mwanaume
alikuwa akimsumbua sana kumpigia na km2mia sms yule mwanamke Zuzu kila siku mpaka mwanamke Zuzu akawa anachukia. Zuzu mwanamke akaamua abadili SimCard, alipoweka ile mpya tu akam2mia
sms Zuzu mwanaume ''Nishabadilisha namba hutonipata tena hasidi wewe''... yule Zuzu
mwanaume akamjibu: "Nitahakikisha naitafuta hiyo namba yako mpya mpaka naipata...utanikoma
No comments:
Post a Comment