mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Sunday, March 01, 2015

ETI NINI?


Kuna jamaa mmoja alikuwa anatongoza demu kijijini maongezi yao yalikuwa hivi:
Jamaa: upo whatsapp?
Demu: sipo
Jamaa: upo instagram?
Demu: sipo  
Jamaa: upo tweeter?  
Demu: sipo
Jamaa: upo facebook

Demu: sipo  
Jamaa: sasa wewe upo wapi?  
Demu: me nipo tigo pesa.
Jamaa: eti nini?

No comments:

Post a Comment