MUUMINI
alikuwa ndio kanunua gari jipya, akaenda kanisani kwake kutoa ushuhuda, kuwa
maombi ya pale kanisani yamemuwezesha kupata gari jipya. Mchungaji akamwambia
apige magoti amuombee. Ghafla mchungaji akaanza kuongea kwa lugha za ajabu,
shekalobabakushalishikashakalakasamakalolo na kutafsiri kuwa ameonyeshwa na
Mungu kuwa apewe funguo za gari lile kama sadaka. Muumini akamuahidi Mchungaji
kuwa atatimiza hilo bila pingamizi. Akarudi kwake na kuchukua funguo za spea na
kumkabidhi Mchungaji , ye huyooo akaondoka na gari.
No comments:
Post a Comment