mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Sunday, March 01, 2015

KOTE UNA HELA ZAKO


Babu leo ameamua kumtembeza mjukuu wake makaburini mambo yapo hivi:
Babu: hili kaburi la Amosi kabla hajafa alikuwa mtu mzuri sana mwaminifu sana nilimkopesha laki mbili akanilipa laki bado laki ila naamini asingefariki nayo angenilipa naamini amosi yupo mbinguni.
(Akageukia kaburi nyingine)hili kaburi la john alikuwa mkorofi sana nilimkopesha laki tatu kafa bila kuilipa naamini yupo motoni.
MJUKUU: babu una raha ukifa uende motoni au mbinguni kote una hela zako!

No comments:

Post a Comment