MKEO KANIAMBIA UMEENDA MAREKANI.
Walevi wawili walikuwa wanapiga stori mambo yakawa hivi:
MLEVI 1: jana nimeota nipo marekani
MLEVI 2: mimi niliota nimeokota mahela na nimefanya matanuzi balaa!
MLEVI 1: yaani umeokota pesa ukaenda kustarehe bila kuniambia rafiki yako wa
ukweli!
MLEVI 2: nilikuja kwako kukuita mkeo akaniambia umeenda marekani
No comments:
Post a Comment