Kuna bwege mmoja alichaguliwa kwenda jeshini lakini tatizo
lake kubwa huwa anakosa sana kulenga shabaha. siku ya kwanza wakajua labda jamaa sio mzoefu wakamuacha siku iliyofuata
wakamsogezea kibango cha shabaha lakini bado anakosa tu mara bosi kwa hasira akamuita na mazungumzo yao yalikuwa hivi:
KAMANDA: wewe! kijana kila leo unakosa sana shabaha kwanini na kila tukikusogezea kibango cha shabaha bado unakosa tu!
jamaa huku akitetemeka kwa uwoga sana!
KAMANDA: akatoa! bastora na kumpa na kumwambia haya nenda nyuma ya hema na ujiue haraka! jamaa huku machozi yakimlenga lenga akapokea siraha na kwenda. baada ya muda mfupi kamanda alisikia mlio wa risasi na akatambua kuwa jamaa ameshajiua mwenyewe. jamaa ghafla! anarudi huku akihema sana na kumuangalia kamanda wake na kumwambia kuwa "nimejikosa"

KAMANDA: heeeee!
No comments:
Post a Comment