mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Friday, March 13, 2015

''SIPOKEI MALI YA WIZI MIMI''


Jamaa kaingia nyumbani kwa mchungaji 
akionekana ana majonzi makubwa;
MCHUNGAJI: Vipi ndugu yangu?  
JAMAA: Familia yangu ina njaa, nimemuibia mtu 
mbuzi yuko hapo nje, najisikia vibaya naomba tafadhali umchukue
MCHUNGAJI: Aaa wapi, sipokei mali ya wizi mimi. Kwanini usimrudishie mwenye mbuzi wake? JAMAA: Mwenye mbuzi kamkataa  
MCHUNGAJI: Basi kama hivyo huyo halali yako kalishe familia yako
JAMAA: Asante sana mzee asante sana. Mchungaji alipoamka kesho yake akagundua mbuzi wake kaibiwa.

No comments:

Post a Comment