Mchaga Flani Alikuwa Anafanya Biashara Ya Kuuza Vacuum Dry Cleaners, Siku Moja Akaenda Kugonga Nyumba Ya Baunsa Alipofunguliwa Bila Kuchelewa Akachukua Kinyesi Cha Mbwa Na Kukimwaga Kwenye Kapeti La Manyoya
Halafu Akasema " Hizi Vacuum Dry Cleaners
Zikishindwa Kusafisha Icho Kinyesi Kilichobaki
Nitakila Mwenyewe"
Baunsa Akamjibu " We Sema Tu Kama Una Hamu Ya
Kula Kinyesi Maana Umeme Wenyewe Umekatika."
No comments:
Post a Comment