MAMA KIZIBO: Namshukuru Mungu mume wangu nimembana mpaka
kaninunulia sumsung galaxy
MAMA STURI: Umembanaje?
MAMA KIZIBO: Nilimfumania kamkumbatia house girl
MAMA STURI: Duh..! mshenzi mkubwa huyo house girl kwa nini usimfukuze?
MAMA KIZIBO: We..we..we kwanini nimfukuze? Bado nataka na vitu vingine

No comments:
Post a Comment