mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Friday, April 03, 2015

KUMBE ''A.P.R'' MAANA YAKE NI.......




Jamaa kaingia choo cha kike akajisaidia then akakuta kuna button imeandikwa WW, akaibonyeza yakatoka maji ya moto yakamtawaza! Kumbe WW maana yake WARM WATER.
Akaangalia button ya pili imeandikwa WA, akaibonyeza ikatoka hewa ya joto ikamkausha yale maji kwenye makalio kumbe WA maana yake ni WARM AIR,
Akatazama tena button nyingine imeandikwa PP akaibonyeza akapuliziwa na pafyumu yenye harufu nzuri makalioni! Akafurahi sana. Kumbe PP Maana yake PURE PERFUME,
Akazidi kuvutiwa zaidi. Akatazama akaona button imeandikwa APR, akaibonyeza kidogo hakajikuta yupo hospital huku nanihii zake zote zikiwa zimeng'olewa!
Kumbe APR maana yake ni AUTOMATIC PAD REMOVER!!

No comments:

Post a Comment