KWA HIYO NYINYI HAMNIDAI KITU
Jamaa
alikuwa kalazwa hospitali ya bei mbaya, wiki nzima akawa hajitambui, hatimae
akarudi katika hali ya kawaida.
DAKTARI: Aise pole sana, kwa kweli hali yako ilikuwa mbaya sana. Na lazima nikubali
kuwa kupona kwako kwa kweli ni muujiza wa Mungu
MGONJWA: Aksante dokta kwa hiyo nyinyi hamnidai kitu
No comments:
Post a Comment