Mchaga mmoja huko Moshi alikuwa kila usiku anapita mbele ya
bank anasimama, kisha anapiga honi, akitoka askari mlinzi, anaondoka. Hilo
jambo likamkera sana askari mlinzi, akamvizia alipokuja tena akamkamata,
akamuuliza kwa nini unakuja unapiga honi kisha unakimbia? Mzee akasema: Nina
pesa zangu katika account hapa bank naogopa usilale usingizi ndio maana kila
siku usiku napita kukuangalia kama umelala...
No comments:
Post a Comment