MBONGO: Aisee mbwa wangu kapotea sina raha
JAMAA: Si ungeweka tangazo kwenye gazeti?
MBONGO: We chizi nini toka lini ukasikia mbwa anasoma magazeti

No comments:
Post a Comment