Jamaa kamtumia mbebs wake wa ukweli, modo, supasta wa bongomuvi shilingi
alfu mbili kupitia Tig* pesa. Mdada kuona meseji ya mkwanja akafurahi, ile
kufungua kakuta elfu mbili akamuendea jamaa hewani
SUPASTAA: We mjinga hivi mi unanionaje? Pumbavu mkubwa unanitumia mimi elfu
mbili nizifanyie nini? Unatia virusi tu kwenye simu yangu…ukafuatia msonyo
mrefu kama ule wa Mama G wa Nollywood….na tafadhali usirudie kutumia hii namba
tena bwanangu karudi
JAMAA: Dah ok sirudii tena samahani, sikupigii tena. Nilikuwa hapa kwenye
yadi ya magari nilikuwa nataka kukununulia gari sasa wakati tunajaza kadi ya
gari lako niliona nitumie njia hiyo kupata jina lako kamili. Poa lakini
msalimia bwanako
SUPASTAA: Bebi, bebi, hani bebi
hutaniwi bebi bei heeee kanikatia simu
No comments:
Post a Comment