Mzee mmoja ya miaka 80 alioa kabinti ka miaka 21. Baada ya mwaka binti
akajifungua mtoto wa kwanza, mzee akawa anapita na kujigamba kuwa yeye mashine
kubwa. Baada ya miaka miwili binti akajifungua tena mtoto mwingine, kabla hata
hajamuona mtoto akapita mitaani tena akijisifu tena kuwa yeye injini kubwa.
Alipofika hospitali akamkuta nesi,
Mzee: Nesi injini kubwa nimefika wapi mali zangu?
Nesi: Mzee injini yako inatumia mafuta ya Kichina?
Mzee: Kwanini unaniuliza?
Mzee: Badilisha mafuta maana safari hii kazaliwa Mchina.
No comments:
Post a Comment