mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, June 13, 2015

KWANI HUWEZI KUPIKA UGALI?


Mmama mmoja kaenda polisi;

MMAMA: Kuna tatizo, mume wangu ameondoka nyumbani toka jana akanambia anaenda sokoni, kununua viazi na hajarudi mpaka leo. Naomba mnisaidie

POLISI: Kwani huwezi kupika ugali?

No comments:

Post a Comment