mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, June 13, 2015

NAONA TSH 500 INANICONFUSE


Jamaa alikua kwenye pepa Bodi ya wahasibu, akawa ana prepare Balance sheet, kwa lugha ya urembo tunasema statement of financial position, kama kawaida yake iliitwa "BALANCE SHIIIIT" ili ikusumbue kubalance, piga piga mshikaji anakuta Tsh 500 inasumbua kitu kisibalance, rudia kila kona, wapi Kajelo bado kanampa stress tu. Jamaa akazama mfukoni, akatoa jelo, alivyomaliza pepa akaomba stepra akabana ile Jelo pale kwenye ile page aliyofanyia swali kisha akaandika ka Notes pale chini, " NAONA TSH 500 INANICONFUSE, naomben mpokee hiyo 500 ili kitu kibalance". Siku ya matokeo.



No comments:

Post a Comment