Kiongozi mmoja alitembelea kituo cha watu
wenye mtindio wa ubongo(mataahira),mambo yakawa hivi
KIONGOZI: hamjambo jamani
MATAAHIRA: hamjambo jamani
KIONGOZI: semeni hiviii hatujambo
MATAAHIRA: hatujambo
KIONGOZI: eheee vyema sasa nikiwapa ndizi mbivu mtafanya nini?
MATAAHIRA: hatujambo
KIONGOZI: semeni tuta menya na kuzila
MATAAHIRA: tuta menya na kuzila
KIONGOZI: nikiwapa hela mtafanya nini?
MATAAHIRA: tuta menya na kuzila
KIONGOZI: hamjambo jamani
MATAAHIRA: hamjambo jamani
KIONGOZI: semeni hiviii hatujambo
MATAAHIRA: hatujambo
KIONGOZI: eheee vyema sasa nikiwapa ndizi mbivu mtafanya nini?
MATAAHIRA: hatujambo
KIONGOZI: semeni tuta menya na kuzila
MATAAHIRA: tuta menya na kuzila
KIONGOZI: nikiwapa hela mtafanya nini?
MATAAHIRA: tuta menya na kuzila
No comments:
Post a Comment