mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, January 30, 2016

MBONA HUTUMI?


BOY: Mambo Dear
GIRL: Kimya
BOY: Mbona haujibu au umelala?
GIRL: Kimya
BOY: Hivi hii no yako imesajiliwa M-pesa?
GIRL: Ndio baby wangu
BOY: Kimya
GIRL: Mbona hutumi?
BOY: Nitume nini?
GIRL: Hela
BOY; Nilitaka tu kujua kama hujasajiliwa ukaisajili
GIRL: Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu.

No comments:

Post a Comment