mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Friday, January 29, 2016

MNUSO NOMA


Chekibob kaenda kwenye mnuso akalewa njwiii, akaondoka huko na chupa nyingine za Nyagi kaweka mifuko ya nyuma ya KATA K yake. Sababu ya ulevi alipofika karibu na kwake akateleza akaangukia makalio chupa zikavunjika na kumchanachana makalio. Akajikongoja mpaka ndani kwakwe, alipovua suruali akaamua kujitibu kwa kubadika plasta kwenye vidonda, basi kwa msaada wa kioo cha kabati lake akawa anajiaangalia palipo na kidonda na anabandika plasta. Hatimae akaona amefanya kazi nzuri akajitosa akalala...... Asubuhi alipoamka, akashangaa kioo chote kimebadikwa plasta na makalio yanauma




No comments:

Post a Comment