NASHUKURU UMEELEWA SOMO
MVULANA: Daktari, rafiki yangu wa kike ni mjamzito, lakini
mara zote nimekua nikitumia kinga. Inawezekanaje hii?
DAKTARI: Ngoja nikusimulie hadithi.
Kulikua na Muindaji ambaye alikua anabeba bunduki kila aendako. Siku moja, alichukua
mwamvuli badala ya bunduki na akaenda nayo. Ghafla akatokea Simba mbele yake.
Ili amtishie Simba, muindaji akatumia mwamvuli na kummiminia risasi Simba.
Simba akafa palepale!
MVULANA: Sio kweli!! Lazima kulikua
na mtu mwengine pembeni aliyempiga risasi Simba.
DAKTARI:
Nashukuru umeelewa somo!!
No comments:
Post a Comment