mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Friday, January 29, 2016

"UNGEWEZA KAMA UNGETAKA"



Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani.
Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walale.
Wakakubaliana walale kwa masaa 4. Wakalala, Walipoamka, mfanyakazi wa Hotel akawatoza Tsh. 500,000/=
Wale wazee wakashangaa hata kama ni hotel ya kisasa lakini sio laki tano kwa masaa 4.
Babu akagoma kulipa akasema aitiwe meneja.
Meneja akaja kuwasikiliza
Babu: " Kwa nini bili ni kubwa hata kama ni hotel ya kisasa?"
Manager;"kuna ma' swiming pool ya kisasa "
Babu; "Lakini hatukuyatumia"
Manager; "Ah ah ah. Lakini mungeweza kama mngetaka"
Babu: "Hata hivo bado haithamini kuwa laki 5"
meneja: "Pia Kuna waimbaji kutoka sauzi, Uganda , Congo"
Babu: "Lakini sisi hatukuwasikiliza"
Meneja: "Ndio Lakini mngeweza kama mngetaka"
Babu; aka give up na kumwambia mkewe andika cheki uwape,,
Bibi akaandika akampa meneja.
Meneja anaangalia anaona sh. 50,000
Akashangaa na kusema. "VP mbona hamsini'"

Bibi akajibu "450,000 ya kulala na mimi"
Meneja akajibu; "Lakini sijalala"
Bibi :"ungeweza kama ungetaka"





No comments:

Post a Comment