Nimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia
nini? ananambia'' ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA
TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI TENA IPI NI YA
NYANYA na IPI NI YA VITUNGUU!!!
NA PESA ZOTE ANAZO KAZISHIKA MKONONI.
NA PESA ZOTE ANAZO KAZISHIKA MKONONI.
No comments:
Post a Comment