Nimeenda Hotelini Leo. . Nimeangalia Menu yao
Kuna chakula kinauzwa sahani Sh 75,000.
Ikabidi nimuulize Muhudumu kama hicho ndio kile
CHAKULA CHA UZIMA tulichoambiwa na Yesu
kwenye BIBLIA.
Ikabidi nimuulize Muhudumu kama hicho ndio kile
CHAKULA CHA UZIMA tulichoambiwa na Yesu
kwenye BIBLIA.
No comments:
Post a Comment