mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Wednesday, July 27, 2016

SAMAHANI NIMEDONDOKA NDOTONI



Jamaa mmoja alilala na msichana kwenye kitanda cha double-deka msichana akalala juu
jamaa chini. Ulipofika usiku jamaa akaanza kupanda juu mara ghafla msichana akashtuka jamaa yupo
pembeni Msichana akamuuliza wewe umefuata nini huku juu. Jamaa akamjibu eti samahani nimedondoka
ndotoni kutoka chini hadi juu huku.

No comments:

Post a Comment