John Sanga alikuwa mchoraji mzuri sana wa picha...siku moja akachora picha
ya noti 10,000 kwenye sakafu ya darasa!...
Mwalimu alipoingia darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua alipokuwa
anaikimbilia ile noti aiokote...
Alipouliza nani kachora wakamtaja John...ikabidi hapo hapo ampigie baba yake
(Mzee Sanga) kumshitaki mwanae...
Sanga akiwa Hospitali akajibu..."Unabahati sana wewe, huyo mbwa jana
nyumbani kachora uchi wa mwanamke kwenye soketi ya umeme"
No comments:
Post a Comment