DEVI: Hello James mambo? za siku nyingi aise?
JAMES: Poa tu vipi mambo ? Siku nyingi hatujawasiliana,
nambie nini kipya?
DEVI: Aisee nina tatizo
JAMES:Nini tena rafiki yangu?
DEVI: Aisee naomba unikopeshe hela kidogo nina shida
nitakurudishia wiki ijayo
JAMES: Hallo hallo, hebu rudia sijakusikia sawasawa
DEVI: Naomba unikopeshe hela kidogo
JAMES: Haloo Devi, mbona sikusikii haloo, aisee hii mitandao
hovyo kabisa, netwek mbovu sana haloooo Deviiiiiii
CUSTOMER SERVICE: Oyaa acha uongo, netwek iko poa jamaa
anasema mkopeshe pesa kidogo atakurudishia wiki ijayo
No comments:
Post a Comment