Upo club kidogo kidogo pale club unadance slow songs...Mara ghafla kademu kanakusogelea
kukutabasamia....Unaanza kushukuru kimoyomoyo umepata wa kucheza nae....mnacheza baada ya 30 minute then kanakunongoneza kwa sikio lako "nireacherge elfu 30 nimtumie mama ili asiangaike kunitafuta niende na wewe" mwanaume huna pesa kwa m-pesa lakini unajikaza kumdanganya smartphone imezima....
Kanatabasamu na kusema usijali kanaondoka,unashukuru sana kwa jinsi alivyoondoka ila... After 2mins kanarudi na power bank.
No comments:
Post a Comment