Jamaa aliazima simu ya rafiki yake apige simu fulani baada
ya simu yake kuishiwa credit. Katika umbea wake akakuta jina MY HONEY, ambalo
lilikuwa na text nyingi za mapenzi. haraka akaiba ile namba, baada ya kurudisha
simu akaanza kuchat na MY HONEY wa rafiki yake. Ni wiki ya tatu sasa anamtextia
dada yake meseji za mapenzi, MSIMSTUE ATAKUFA BURE
No comments:
Post a Comment