Mgonjwa mmoja alitoka kwenye operesheni alipopata fahamu akajikuta yuko kwenye chumba kina wagonjwa wengine wawili,
MGONJWA 1: Dah nashukuru Mungu operesheni yangu imefanikiwa
MGONJWA 2: Usiwahi kushukuru hawa jamaa waliwahi kusahau
sindano tumboni kwangu
MGONJWA 3: mie walisahau pamba ikalazimika nirudie tena
operesheni…..ghafla yule daktari aliyefanya operesheni akaingia mle chumbani
DOKTA: Vipi mnaendeleaje? Kuna mtu kanionea kofia yangu
jamani?……..
MGONJWA 1 akazimia palepale
No comments:
Post a Comment