Gulo na binamu yake Fulo waliingia kwenye bucha;
GULO: Naomba lita moja ya kuku wa kizungu……watu waliokuweko
walipigwa butwaa kidogo kisha wakaanza kucheka kwa nguvu. Fulo nae akaanza
kucheka mpaka machozi yakamtoka
GULO: Sasa na wewe Fulo unanicheka mi mwenzio kwa kosa gani?
FULO: Nacheka kwa kuwa umeomba lita moja ya kuku, sasa huoni
tumesahau kuchukua chupa? Tutawekea wapi? Hahahahaha
No comments:
Post a Comment