Mwalimu aliingia darasani akauliza wanafunzi ukitoka shule huwa unafanya nini?
Mwanafunzi wa kwanza "ninaenda kwa kizibo ukuti kununua bangi"
Mwanafunzi wa pili "huwa naenda kwa kizibo ukuti kununua sigara"
Mwanafunzi wa tatu "huwa naenda kwa kizibo ukuti kununua gongo"
Mwanafunzi wa nne "huwa naenda kwa kizibo ukuti kununua Madawa ya
kulevya"
Mwalimu Mmmh!?.....Na wewe?
Mwanafunzi wa tano "huwa nakaa Nyumbani
ninajisomea na kufanya home work"
Mwalimu: 'Safi sana kijana mzuri mwenye mfano wa
kuigwa....!! unaitwa nani?
Mwanafunzi: kizibo ukuti
No comments:
Post a Comment