Mama Mmoja Alikuwa Na Mwanae Akachukua Taxi Waende Sehemu Flani Wakati Wapo Njiani Wakawaona WadadaWanajiuza,Dogo Akamuuliza Mama Yake
Dogo: Eti Mama Hawa Wanafanya Nini Hapa?
Mama: Wanawangoja Waume Zao Waje Kuwachukua.
(Mara Dereva Taxi Akaingilia)
Dereva: Si Umwambie Ukweli Tu Kwamba Hao Wanajiuza.
Dogo: Kwani Mama Hao Wakizaa Watoto Wao Wanakuwaje? Mama: Madereva Taxi.
No comments:
Post a Comment