Wednesday, August 17, 2016
MAUMIVU YA UZAZI SI MCHEZO
Mama mmoja mja mzito na mumewe waliamua kwenda kwa mganga wa kienyeji awape dawa ya kuondoa maumivu wakati yule mama anazaa. Mganga akawapa punje tatu za karanga akamwambia yule mama akisikia maumivu atafune karanga moja maumivu yatahamia kwa baba wa mtoto. Mumewe akakubali kubeba mzigo wa maumivu. Siku ya kujifungua wakawa hospitali, mama alipoona maumivu yanaanza akatafuna punje moja, maumivu yakapotea, mumewe aliyekuwa pembeni yake akamwambia,’Nyie wanawake kumbe huwa mnajidekeza tu, mbona sioni maumivu yoyote’. Baada ya muda maumivu yakamrudia yule mama akala punje nyingine, matokeo yakawa vilevile, mume hakusikia chochote akawa anacheka sana tu. Hatimae yule mama akaanza kupata maumivu makali ya kujifungua
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment