Mlevi, haloo hapo ni kituo cha polisi:
POLISI : ndio
MLEVI:Kuna wizi umetokea nimeacha gari langu nje nikaingia bar kurudi sijaona steling, dashi bodi na kiti cha dereva.
POLISI: ok wewe upo
maeneo gani tuje?
MLEVI: oooh sorry kumbe
niliingia mlango wanyuma basi msije
No comments:
Post a Comment