NIKALAMBA KIDOLE CHA PILI TOKA GUMBA...".
Kwenye chuo kimoja cha kitabibu
prof aliwaingiza wanafunzi kwenye chumba chenye maiti
akawaambia sifa ya udaktari ni kutokuwa na kinyaa, pili ni kuwa makini. Akaingiza kidole
kwenye njia ya haja kubwa kwa maiti mmoja kisha akalamba halafu akawaambia wote wafanye
hivyo, na wote wakafanya akawaambia "zoezi la kutokuwa na kinyaa mmefaulu ila kutokuwa
makini mmefeli, mimi niliinginza kidole cha kati lakini nikalamba kidole cha pili toka
gumba...".
Uwezi amini huyo prof sasa hivi yuko ICU ..ANAPUMULIA
MIPIRA
No comments:
Post a Comment