mambo
WEKA
SULUM
Pages
Home
Tuesday, August 09, 2016
NILISHINDA KWENYE MASHINDANO
DAYNA:
Bebi simu yako nzuri umepata wapi?
DEVI:
Nilishinda kwenye mashindano
DAYNA:
Mashindano ya nini Bebi?
DEVI
: Mashindano ya mbio, kati yangu, mwenye simu, polisi na wananchi wenye hasira kali.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment