mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Friday, August 05, 2016

SALMA DOMOKUNUKA


Mdada kasubiri boifrend wake kaenda bafuni akachukua simu na kuanza kupekua majina, akakuta majina kama Irene Migulubaja, Sinta Mapengo, Wema Mashavu akawa anacheka peke yake akaamua kutafuta namba yake akakuta imeseviwa Salma Domokunuka

No comments:

Post a Comment