kwenda kutoa pesa kwa m- pesa nikiwa na remote ya TV, nikaacha simu ndani..
nilipofika kibanda cha m-pesa na remote ya tv mzee akaniangalia na kutingisha kichwa..
Ikanibidi nirudi home nichukue simu, nilipofika nikakuta giza nikachukua simu
mezani na kuwasha tochi ili nitafute simu yangu lakini sikuiona. Ikanibidi nimpigie
mama ili anibeep kwenye namba yangu ya simu ili nijue iko wapi.. akanijibu "siku
ukiacha bangi ndio utajua simu yako iko wapi".
No comments:
Post a Comment