UNATAKA WANISHIKE?
Nimeingia kwa daladala nikaketi karibu na
jamaa anavuta bangi huku
akisoma gazeti lake. Kidogo Kidogo akazima bangi yake na kuitupa nje ya dirisha,
nikamuuliza "Boss shida gani?" Jamaa kanijibu "wewe huoni hii
page ina maaskari unataka wanishike?
No comments:
Post a Comment