mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Wednesday, August 03, 2016

ZOTE NI VIUNGO


Injinia aliulizwa kuna tofauti gani ya ki'ufundi kati ya Welding (kuchomelea Na wedding (harusi)??
Akajibu.siyo kubwa zote ni viungo (joint) ila katika
welding kuna cheche kwanza halafu ndiyo inaungana milele
Wakati katika wedding inaungana kwanza halafu cheche milele.

No comments:

Post a Comment