mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Tuesday, December 31, 2013

SIKIA KALI HII..!

Jamaa flani wa Mombasa kamtumia Girlfriend wake aliye Tanzania barua:... Mambo Mpenzi nimempata dem mwingine mrembo, mwerevu, mdogo na ana shape nzuri kakuzdi wewe...... kwa hiyo naomba unirudishie picha zangu."Dem akamtumia bahasha inapicha 50 za wanaume tofauti,kisha akaandika;.... Naomba uchague picha yako alafu nyingine unirudishie maana NIMEKUSAHAU.

No comments:

Post a Comment