Danny alimdanganya mkewe anasafiri ili akalale kwa hawara yake.
Mkewe akamruhusu!..Baada ya
kuruhusiwa akachukua simu na kumtumia meseji hawara yake,
"Oyaa nakuja kwako kulala, huyu bwege
nimemdanganya nasafiri siku tatu." Katika kutuma meseji danny akakosea namba na kumtumia mkewe.
Mke wake naye bila kutazama vizuri akajibu haraka!...
"Fanya haraka uje tule raha. Halafu jana hili fala langu bado kidogo ashtukie hii mimba sio yake!"...!
No comments:
Post a Comment